Mumangi Construction Co. Ltd inatangaza nafasi ya kazi kwa nafasi ya Backhoe Loader Operator.
Nafasi: Backhoe Loader Operator
Mwajiri: Mumangi Construction Co. Ltd
Eneo la Kazi: Mwanza
Mwisho wa Kutuma Maombi: 07 December 2026
Sifa za Mwombaji
Uzoefu wa kuendesha Backhoe Loader / mitambo mizito angalau miaka 2.
Uelewa kuhusu matumizi ya vifaa vya kujikinga na hatari wakati wa kazi.
Uelewa wa kukagua kabla na baada ya kutumia.
Uwezo wa kufanya kazi kwa zamu (shift work).
Majukumu ya Kazi
Kukagua mashine kabla na baada ya matumizi.
Kutunza mashine na kutoa taarifa kuhusu hitilafu zinazojitokeza.
Kuzingatia taratibu za usalama kazini wakati wote.
Kuwa mwaminifu na tayari kufanya kazi wakati wote.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Nyaraka Zinazohitajika: Barua ya maombi ya kazi na CV.
Njia ya Kutuma:
Tuma maombi yako kupitia
barua pepe (email):mumangicstcoltd@gmail.com.
Mwisho wa Kutuma Maombi: 07 December 2026.

No comments:
Post a Comment